Kule Ngambo

KULE NGAMBO

Nitamuimbiya Mungu kwa furaha, kwa sababu amemshinda shetani iih.
Ninafurahi farasi wote wa Farao na waliyo wapanda wote wamekufa. X2

ON THE OTHER SIDE

I will sing to God joyfully, for He has overcome Satan
I am glad that all of pharaoh’s horses and all the people on them have died x2

Chorus :Kule ng’ambo aye walivuka kwa furaha walipo mwimbiya nyimbo za musa. X2 Chorus:On the other side, they happily sungAs they sung Moses’ song. X2

Mwenyezi Mungu ni tumaini langu, mwenyezi pia ni tegemeo langu
Adui watakuja kwa njia moja, naye atawatawanya kwa njia saba. X2

Sovereign God is my hope,
Sovereign God is my dependence
Enemies will come in one way,
but He will scatter them in seven ways X2

Usiogope nawewe ndugu yangu, unaye Mungu anaye kushindia
waliokucheka leo asubuhi, watakushangaa ifikapo mchana
Waliofunga mafanyikio yako, bahari ya shamu ina wasubiri
Wasipokuwa tayari ku surrender kumezwa na maji ni alali yao.
Don’t you be afraid my dear,
We have God who is our winner
Those whose laughed at you in the morning
will be surprised by noon time
And those who were stopping your blessings
the Red sea is waiting for them
If they won’t be ready to surrender
To be swallowed by the water will be their right.
Advertisements