Jipe Moyo

JIPE MOYO

Yamkini wapitia, maisha magumu hujwi tena lakufanya aah

Yamkini waebdeya, hali mbaya hujuwi hata pa kwenda aah

Yamkini majirani wakutenga, rafiki ndugu wakuacha aah.

Neno moja nililo nalo oo jipe moyo, Bwana Yesu yuko nawe eeh

Alisema hatakuacha, jua ikupigapo wakati wa mchana nayo mwezii wakati wa usiku.

TAKE HEART

Perhaps you are having a tough life and you don’t know what to do anymore

Perhaps you are passing through a bad time and you don’t know where to go anymore

Perhaps neighbors have separated themselves from you, friends and relatives have abandoned you

I have good news for you, Take Heart, the Lord Jesus is with you

He said He will not let the sun hurt you during the day nor the moon at night

Chorus:

Jipe Moyo yote yatapita, Eyaa

Jipe Moyo yote yatapita. X2

Chorus:

Take heart, all of this will pass, Ee ya

Take heart, all of this will pass

Nikweli kwamba walikucheka, kama Sara kwajuli ya hali yako ooh

Jipe moyo ndugu yangu, mda kitambo isaka wako anakuja aah.

Nikweli kwamba walikutupa, kwenye shimo kwa ajili ya kanzu yako yenye marangi

Usife moyo ndugu yangu, kumbuka Yusufu ufalme wako waku ngoja aah.

Katika hali yoyote ile unayopitia jua wewe ni zaidi ya m’shindi iih.

Katika hali yoyote ile unayopitia jua wewe ni zaidi ya m’shindi iih.

It is true that they laughed at you, just as they did to Sarah, because of your situation

Do not be discouraged my dear, in a short while your Isaac is coming

It is true that they threw you into a pit because of your multicolored coat

Don’t be discouraged my dear, just like Joseph your kingdom is waiting for you

In any situation that you are going through, know that you are more than a conqueror

In any condition that you are passing through, remember that you are more than a conqueror

Yatapita aaah X3

All of this will pass x3

Advertisements