Jina Lako Milele

JINA LAKO MILELE

lead : Nitaimba nitasifu jina lako milele aah.
All : Nitaimba nitasifu jina lako milele aah.

Ninafuraha moyoni mwangu kukujua wewe, umebadilisha mambo yote katika maisha aa, natamani wengine waonje waone uzuri wako ewe Bwana aah; wewe ni mwema sana.

Nitakusifu Bwana, nakutukuza wewe tu.
Kwakuwa wewe ni ngome yangu, Msaada wangu wakati wa mateso
Nakupenda Mungu, uliniumba kwa jina lako.
Nitakuimbia, nitakusifu, nitakuinuwa Bwana, siku zote milele.

Yo nde Nzambe na ngai, nakoyembela yo
Nako sanzola yo mikolo nyoonso ooh,
Yo obongi nalokumu Yahwe, nakoyemba nkembo nayoo Papa eeh.

I’LL PRAISE YOUR NAME FOREVER

Chorus :
I will sing, I will praise your name forever.

My heart is so happy to know you, You’ve brought a complete change into my life
Its my desire that others should taste you and see your goodness oh Lord,
For you are so good.

Chorus :
I will sing, I will praise your name forever.

Bridge :
I will praise you Lord, I will exalt you alone, for you are my rock, and my help in the time of sorrow
I love you God, you have called me by your name
I will sing for you I will praise you, I will exalt you Lord, every day and forever.

Chorus :
I will sing, I will praise your name forever.

You are my God I will sing for you
I will adore you, I will always exalt you
You are worthy of praise Yahweh
I will sing your name Daddy.

Celebration (Sebene)

Aleluya, Amen X8Eeeh Wote twende namna hii.
Eeeeeh, Eeeeehn. X4
Hallelujah, AmenEvery body just rejoice and repeat this with me.
Eeeh, eeeeh, x4

Yesu ni Bwana,
Ni Mshindi
Sema Eeeh

Now you lift your right hand up and proclaim that Jesus is the winner.

Ebu weka mkono wako wakulia juu sema Yesu mshindi
Katika hali ngumu ya maisha.
Yesu mshindi
hata katika magonjwa yasio tibika
Yesu mshindi
Hata katika watoto wako walio chukuliwa misukule
Yesu mshindi
Hata katika pesa zako zilizo chukuliwa katika hali yakutatanisha sema
Yesu mshindi.Waliweleza mziki ilitoka mbinguni Nyie mkasema uongo. X4Sio mazinga umbwe, ni nguvu za Bwana X4
In any difficult time in your life, just say
Jesus is the winner.
Even in a condition of having an incurable disease proclaim
Jesus is the winner.
Even for your Children that have been taken into a world of darkness, just proclaim
Jesus is the winner.
Even for your money that was lost in mystical ways keep confessing
Jesus is the winner.And Dance to Jesus.
Anointing has come from heaven, and music is originally from heaven
Advertisements